Recent content by HAMISI LUKWEMBO

  1. H

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa watumishi 2013/2014

    Kaka naomba kumwona saidi h mandamo
  2. H

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa watumishi 2013/2014

    UNAJUWA WATU KAMA CC UCTOCHOKE KAKA. NAOMBA KUJUWA JINA LA RAFIKI YANGU ANAITWA saidi h mandamo. Jamaa hajuwi hata la kufanya.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa watumishi 2013/2014

    Kaka samahan kumbe ilikuwa ni saidi h mangando.,co said hasan
  4. H

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa watumishi 2013/2014

    Kaka niaje? Naomba uniangalizie huseni namenya na saidi hasan kama wamepata uhamisho.
  5. H

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa watumishi 2013/2014

    Kaka habari.naomba uniangalizie huseni namenya na saidi hasan kama kapata nafasi
  6. H

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa watumishi 2013/2014

    Kaka mambo. Naomba uniangalizie salum mpapalia km yumo. Halafu barua zimeshatumwa kwa wakurugenz
  7. H

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa watumishi 2013/2014

    Nashukuru sana kaka,kwako mungu akupe neema
  8. H

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa watumishi 2013/2014

    Kaka ngoja nikuombe tena kwa jina emiliana mghogho.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa watumishi 2013/2014

    Kaka ahsante sana. Nitakuwa nawe pamoja katika mtandao huu.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa watumishi 2013/2014

    Jaman mwenye kunifanyia msaada ya kuangalia jina la esha yusufu bushiri aniangalizie anijuze kama kapata uhamisho. Pls ndg zangu.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa watumishi 2013/2014

    Kaka naomba uniangalizie jina la mke wangu, anaitwa esha bushiri yusufu. Tafadhari
  12. H

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa watumishi 2013/2014

    Ujuwe tamisemi mjuwe ndoa za wa2 zaharibika,au mlitaka walimu wa kike wasiolewe? Mi kila cku ni kero kutoka kwa mke wangu na process zote tayar na had sasa hakuna kinachoeleweka.
  13. H

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa watumishi 2013/2014

    Kuna kaz kwel mwaka huu, wife alienda h\shaur jana kuangalia km kuna chochote kutoka tamisemi akarud tupu, itakuwa bado. Lkn hapa kuna irresponsibility,tangia december had leo. Mmmmh
Back
Top Bottom