Habari
Natafuta kazi kama msimamizi wa Biashara, Afisa mauzo, Afisa masoko, huduma kwa wateja na nyinginezo zinazoendana na hizo
SIFA ZANGU
Elimu ;
Chuo kikuu (Bachelor degree in Accountancy) japo kuwa sina Cheti, Nina ujuzi wa matumizi ya kompyuta, na mambo ya intaneti , pia nina uwezo wa...