Recent content by hamilton

  1. hamilton

    JamiiForums Eti wanasema michepuko siyo dili? Sio kweli huyu wangu ni dili

    Kwa hiyo unajisifia uzinzi?
  2. hamilton

    JamiiForums Naweza kuoa mwanamke aliyetalikiwa na rafiki yangu?

    Haina shida endelea kupiga tu
  3. hamilton

    JamiiForums Msaada: Mke kaniroga nikienda nje haisimami, ndani inasimama

    Habari za mida wana Jf, Nimekua na mgogoro mkubwa na mke wangu kwa muda flani sasa, nisingependa kuutaja maana nilishautaja mgogoro huo hapa na tulishaufunga mjadala huo. Kutokana na huo mgogoro nikalazimika kutafuta farijiko pembeni, farijiko hilo ni staff mwenzangu kazini ambae alikua alikua...
  4. hamilton

    JamiiForums Kiwanja tulichonunua kumbe ni cha mpenzi wa zamani wa mke wangu

    Kiongozi unasoma ushari flani hadi unacheka mwenyewe badala ya kusikitika, yaani watu wanaenda mbali mno kusikotakiwa kabisa Ndio maana nilipenda sana nishauriwe na wanandoa pekee Hizi na nyingine nyingi nilizozisoma ni sumu na si ushauri na nyingi zinatoka kwa wasio kuwa na ndoa Nawashukuru...
  5. hamilton

    JamiiForums Kiwanja tulichonunua kumbe ni cha mpenzi wa zamani wa mke wangu

    Wakuu nawashukuru sana, kwa mawazo yenu yenye tija, ingawa baadhi wameenda sana kudai niwapime watoto wangu DNA Jambo hilo sitafanya maana watoto wangu tunafanana kiasi ukituona ww mwenywe unaweza kukimbia Kuhusu kuhama pia siwezi kufanya hivyo kwa sababu ya mtu mwingine, nilihitaji kutatua...
  6. hamilton

    JamiiForums Kiwanja tulichonunua kumbe ni cha mpenzi wa zamani wa mke wangu

    Wakuu habari, Mimi na mke wangu tunaishi maisha ya furaha, tumebarikiwa watoto wawili mapacha, mwanzoni mwa mwaka huu tumehamia kwenye nyumba yetu, plot hii ni wife ndio alinionesha na akasema anamjua mwenye nayo, kwamba haina matatizo tuinunue tu, hivyo nikainunua kutoka kwa jamaa mmoja hivi...
Back
Top Bottom