Habari ndugu zangu, nimeona nilete kwenu fursa hii ya ufugaji wa kuku wa nyama pamoja na mayai; Mimi nina mabanda makubwa mawili ambayo kila moja lina uwezo wa kubeba kuku layers (watagaji) 500 jumla ni kuku 1000 watagaji ama kuku 1000 wa nyama ambapo jumla mabanda yana uwezo wa kubeba jumla ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.