Recent content by Hamidu Mindu

  1. Hamidu Mindu

    Maharagwe mekundu yanauzwa

    Hiyo ndio bei ya rejareja mjini
  2. Hamidu Mindu

    Maharagwe mekundu yanauzwa

    Tabata barakuda
  3. Hamidu Mindu

    Maharagwe mekundu yanauzwa

    MAHARAGE MEKUNDU NA ROSECOCO (KOMBAT) yanauzwa kuanzia 100KG na kuendelea. Maharage yamesafishwa na yamepakiwa kwenye viroba vya 25kg. Ghala liko tabata, Dar es salaam, bei kwa kilo tsh.1450 . Mikoani utatumiwa kwa gharama zako. 0652601602
  4. Hamidu Mindu

    Natafuta kampuni inayosafirisha nyama hasa utumbo wa ng'ombe

    Habari, ninatafuta kampuni inayofanya export ya nyama hasa export ya utumbo wa ng'ombe( beef omasum). Kama unafanya au unamfahamu anaefanya hiyo biashara naomba tuwasiliane. 0652601602
  5. Hamidu Mindu

    INAUZWA Mahindi yapo sokoni tani 400

    Maelewano katika malipo ndio utakua muongozo ila mzigo upo hata ukihitaji sasa hivi
  6. Hamidu Mindu

    INAUZWA Mahindi yapo sokoni tani 400

    Nashukuru umeliona hilo
  7. Hamidu Mindu

    INAUZWA Mahindi yapo sokoni tani 400

    Haiwezekani kaka. Maslahi hakuna hapo
  8. Hamidu Mindu

    INAUZWA Mahindi yapo sokoni tani 400

    Mzigo uko tabata kaka, lakini pia siwezi kuleta kabla maelewano
  9. Hamidu Mindu

    INAUZWA Mahindi yapo sokoni tani 400

    MAHINDI yanauzwa Tsh 470/kg Ziko tani 400 Mzigo unapatikana tabata- Dar es salaam. MAGUNIA yaliyotumika mara 1 yanauzwa. Yako 2200 Bei kwa gunia 1 ni tsh 2500 Magunia yanapatikana tabata- Dar es salaam . GODOWN lenye eneo la 550sqm linakodishwa Bei $5/sqm/month Muda wa Kukodi kuanzia miezi...
  10. Hamidu Mindu

    Nauza Mahindi Tsh. 600/Kg

    Unalima nn mkuu
  11. Hamidu Mindu

    Nauza Mahindi Tsh. 600/Kg

    Hiyo bei imepungua kwa sasa ni 520 kwa kilo
  12. Hamidu Mindu

    Nauza Mahindi Tsh. 600/Kg

    Kwaiyo kilo 150?
  13. Hamidu Mindu

    Nauza Mahindi Tsh. 600/Kg

    Sawa ahsante kwa ushauri boss
  14. Hamidu Mindu

    Nauza Mahindi Tsh. 600/Kg

    Huko Geita huku Dar ni hiyo bei yako ni uongo
  15. Hamidu Mindu

    Nauza Mahindi Tsh. 600/Kg

    Nitakuuzia kwa Tsh. 520/kg
Back
Top Bottom