Recent content by HAMESS

  1. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi wana JamiiForums. Nina elimu ya astashahada katika fani ya manunuzi yaani

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25. Mkazi wa Kigamboni. Nina elimu ya astashahada katika fani ya manunuzi yaani [ procurement, logistics and supply chain management] Kutokana na changamoto za kimaisha imenibidi kutafuta kazi na siyo kuajiliwa tenah, hivyo nilikuwa naomba kazi, mwenye...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni Kazi. Nina elimu ya kidato cha nne

    Nipo kiloleli
  3. H

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni Kazi. Nina elimu ya kidato cha nne

    Nipo mwanza nipe location ya hiyo kazi
  4. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ninaweza kufanya kazi ya aina yoyote Ile iliyo ya halali

    Naomba hiyo kazi
  5. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ninaweza kufanya kazi ya aina yoyote Ile iliyo ya halali

    Saw kaka shukrani
  6. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ninaweza kufanya kazi ya aina yoyote Ile iliyo ya halali

    Ahsante pia nashukuru Kwa wazo lako
  7. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ninaweza kufanya kazi ya aina yoyote Ile iliyo ya halali

    Ndio kiongozi lakini so deep kivile
  8. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ninaweza kufanya kazi ya aina yoyote Ile iliyo ya halali

    Ndio naweza kiongozi Na nipo tayari pia🙏🙏
  9. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ninaweza kufanya kazi ya aina yoyote Ile iliyo ya halali

    Hapo ni typing error TU kiongozi nilitaka kusema mauzo Kwa ujumla ko ni sales Sorry kama nitakuwa nimekuchanganya
  10. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ninaweza kufanya kazi ya aina yoyote Ile iliyo ya halali

    Hapo ni typing error TU kiongozi nilitaka kusema mauzo Kwa ujumla ko ni sales Sorry kama nitakuwa nimekuchanganya🙏🙏
  11. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ninaweza kufanya kazi ya aina yoyote Ile iliyo ya halali

    Kulingana na aina ya kazi au mwajiri kaniajili kada ipi ya kazi hapo ndo taweza kusema Au wewe ulikuwa unataka kuniajiri unambie ni kada ipi theni ndo naweza kusema au kukwambia Kwa usahihi zaidi🙏🙏
  12. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ninaweza kufanya kazi ya aina yoyote Ile iliyo ya halali

    Kwa majina naitwa Hamis Mahujaji Hamis, mwenye umri wa miaka 24, mwenye makazi ya mkoa wa Dar Es Salaam katika wilaya ya Kigamboni. Elimu yangu ni Ngazi ya cheti pia ni muhitimu muhitimu katika chuo kikuu Cha Dar Es Salaam Maritime Institute mwaka huu wa masomo wa mwaka 2024 katika level ya...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ile iliyo halali

    Shuk Shukrani sana🙏🙏 Sikuzote kama hauna kitu na upo kwenye mapambano au kurupushani za kimaisha we shukua ushauri wote ndo hapo utapambanua lipi Zuri lakulifanyia kazi na kukichukua na lipi na kulipuuzia📌📌
  14. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ile iliyo halali

    Dah!!! Mimi kaka sipo huko kabisa kwenye mambo ya siasa🙏🙏
Back
Top Bottom