Unatolea mfano watu waliopewa vipawa maalum na Mungu. Katika mazingira ya kawaida ukiwa rijali tu mwanamke anao uwezo wa kukulazimisha kufanya mapenz bila ridhaa yako unawza ukakaza ila akakuvulia nguo apo hisia zikapanda ukashindwa kujizuia, lakn pia hata mwanamke anaebakwa huwa mgumu mwanzon...
Labda angetutafsiria maana ya kubaka au kubakwa. Maana sie tukisikia kubaka au kubakwa tunaelewa ni kitendo cha mtu kufanyishwa mapenz kwa kulazimishwa bila ridhaa yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.