Recent content by Hamdany

  1. Hamdany

    Je, tumfikirie Shaka kwenye nafasi ya juu? Huenda ndio kijana mwenye ushawishi zaidi Tanzania

    Kwa pole pole tatizo lilikua dogo tyuu kulewa mamlaka
  2. Hamdany

    Je, tumfikirie Shaka kwenye nafasi ya juu? Huenda ndio kijana mwenye ushawishi zaidi Tanzania

    Ishu ni investment vyama vya upinzani investment ndogo sana
  3. Hamdany

    Je, tumfikirie Shaka kwenye nafasi ya juu? Huenda ndio kijana mwenye ushawishi zaidi Tanzania

    Upo sahihi lakini nafasi aliyopo shaka wapo ambao walipita na hawakufanya anayo yafanya hiyo inadhihirisha uwezo wake lakini ukisikiliza hotuba zake jamaa anajua kujenga hoja sio kusifia tyuu maboss wake
  4. Hamdany

    Je, tumfikirie Shaka kwenye nafasi ya juu? Huenda ndio kijana mwenye ushawishi zaidi Tanzania

    Ni dhahiri kuwa vijana wa sasa wapo smart sana na siasa na wapo tayari kulitumikia taifa hofu yangu ni mikoba tyuu wanayo rithishwa kuibeba wanatakiwa kuibadilishaaa
Back
Top Bottom