Licha ya mabaya ya ngosha ila alikuwa na mazuri mengi tu, moja kubwa ni suala la umeme, elfu 27 was real ila wenzangu na mimi mnaounga umeme sasa hivi kazi mnayo
Tatizo si kulama na demand, tatizo ni ukame hata walio lima hawajazalisha vya kutosha na pia hatuwezi kulima wote, so serikali iangalie wananchi wakikosa chakula hakuna kitakachoendelea, kazi itakuwa ni kutafuta namna ya kuwalisha, hayo mabarabara hata sijui reli na hayo mamiradi mengine ya...
Wanawake wanafaa sana katika uongozi lakn si katika ngazi ya juu kabisa ya uongozi wa nchi kama urais, ni nchi chache sana duniani zimethubutu kuongozwa na wanawake na matokeo wameyaona
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.