Recent content by HAM_92

  1. H

    JamiiForums Tanzania KERO UDOM na HESLB mnashida gani? Mnatuumiza sisi graduates na kutupotezea muda

    Baadhi ya wanafunzi wa UDOM tunapata shida kuyaona matokeo yetu kwenye mfumo wa Sr2 kwa sababu ya madeni ambayo hatuyaelewi. Baada ya matokeo kutoka Hali ilikuwa shwari watu tuliona matokeo yetu ila baada ya muda kidogo mfumo ukashake na hapo ndo shida ilipoanzia. Chuo kinatuwekea madeni mfano...
Back
Top Bottom