Recent content by Haludzedzele

  1. H

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania yashiriki maonesho ya 49 ya Kimataifa Sabasaba jijini Dar es Salaam

    Hakuna kitu najuta kama kununua hisa za Vodacom
  2. H

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Rais – TAMISEMI Special Thread: Karibu tukuhudumie, tupe Maoni, Maswali, Mapendekezo na Malalamiko

    Angalieni usawa katika ajira kwani mtu ana digrii ameanza kazi 2012 anakua Sawa na ajira ya 2015 usawa upo wap hapo?
  3. H

    JamiiForums Tanzania KERO Wakuu wa Idara Manispaa ya Kigoma Ujiji hawajauelewa vema mfumo wa PEPMIS

    Ahsante ndio Nchi yetu hatuna chaguo
  4. H

    JamiiForums Tanzania KERO Wakuu wa Idara Manispaa ya Kigoma Ujiji hawajauelewa vema mfumo wa PEPMIS

    Dah kweli ahsante kwa ushauri! Mtu uwajibike kumkumbusha mtu wajibu wake kweli hii nchi kazi tunayo. Ukiacha madhara kwako mwenyee
  5. H

    JamiiForums Tanzania KERO Wakuu wa Idara Manispaa ya Kigoma Ujiji hawajauelewa vema mfumo wa PEPMIS

    Supervisor wetu nae naona anachangia watu wameupdate toka mwezi wa 2, 3, 4 na wa 5 lkn mpaka Leo ipo submitted tuu
  6. H

    JamiiForums Tanzania KERO Wakuu wa Idara Manispaa ya Kigoma Ujiji hawajauelewa vema mfumo wa PEPMIS

    Dah kweli huu mwaka ni wa kamkosi Fulani maana kuna wengine Dodoma nako ni intake hiyo nao wameumizwa kama Manispaa ya Kigoma/Ujiji tuu
  7. H

    JamiiForums Tanzania KERO Wakuu wa Idara Manispaa ya Kigoma Ujiji hawajauelewa vema mfumo wa PEPMIS

    Jamaa wanatutesa Sana bila hata huruma yani
  8. H

    JamiiForums Tanzania KERO Wakuu wa Idara Manispaa ya Kigoma Ujiji hawajauelewa vema mfumo wa PEPMIS

    Binafsi huwa najuta Sana kuwa Mtumishi wa Manispaa hii bad enough nina dogo Geita aliajiriwa 2015 Niko nae daraja moja F digrii kwa digrii! Ajira 2012 na yeye 2015 halafu utake mtu afanye kazi kwa moyo bila maslahi yake kuzingatiwa
  9. H

    JamiiForums Tanzania KERO Wakuu wa Idara Manispaa ya Kigoma Ujiji hawajauelewa vema mfumo wa PEPMIS

    Hawa jamaa wanatutesa Sana hadi mtu unaona kazi kama ni utumwa just imagine mtu umeajiriwa 2012 upo daraja F Sawa na ajira ya 2015 kisa mapungufu Yao kuwa mateso kwa watumishi wengine. Intake ya 2012 Kigoma Manispaa hamtufanyii fair kabisa
  10. H

    JamiiForums Tanzania Kuna haja kwa mamlaka husika kuangalia upya mikopo ya mitandaoni

    Mtaendelea kupigwa tuu mana hamnazo mnabebesha zigo kubwa afu mnahaha na saved contacts kila mtu mnamtumia ujumbe. Juzi kati wamepga simu na matext kibao eti nmemdhamin mtu X na simfaham ila majibu walipata
  11. H

    JamiiForums Tanzania Kuna haja kwa mamlaka husika kuangalia upya mikopo ya mitandaoni

    Sasa saved contact zake znahuckaje hapo kwann msitumie alzowapa za wadhamin wake
  12. H

    JamiiForums Tanzania Bukoba: Mwalimu atakiwa kurejesha Mshahara aliolipwa kwa kufanya Udanganyifu kwa Mwajiri

    Pole yake Mwalimu ni vile tuu kada yenyewe ina ikiritimba mwingi kwenye utoaji wa ruhusa ndio maana watu wanajiongeza kiaina! Ni mapito tu
  13. H

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu CWT agoma kurudi Temeke kufundisha

    Pay ya Maticha imewapa kiburi sana! CWT ni dude fulani dhulmati viongozi wake hujiona kama miungu
Back
Top Bottom