Recent content by halla

  1. halla

    Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Chief speedfan nilishaondoa baada ya kuona sipati data yoyote ya kusaidia though ilikuwa inanipa real time data Hapo kwenye bios ndo sijapaona nimepatafuta sana labda unisaidie napapata vipi
  2. halla

    Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Program kama ipi chief maana nilijaribu speedfan joto lilikuwa kawaida kabisa ila still inajizima
  3. halla

    Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Nahitaji msaada wenu wakuu....nna laptop HP probook 440 g4 nikitumia bila AC yaan ikipata joto kidogo tu inazima ghafla bila error yeyote. Nimefanya maintenance kwenye vent hakuna vumbi wala obstruction yeyote, fan inazunguka, heat paste nimebadili, all updates nmefanya mpaka kwenye bios na pia...
Back
Top Bottom