Ahsanteeee kwa swali hii drone nimeweka kama mfano wa teknolojia ambayo itatusaidia kuokoa muda kwa kufanya kazi kwa muda mfupi na eneo kubwa hii inakuwa tofautii na watenda kazi hivyo basi wakulima wakiwezeshwa na kupewa ujuzi wa teknolojia kama hizi zitaongeza uzalishaji
UTANGULIZI
Tanzania tuitakayo lazima tuweke misingi Bora na endelevu katika kilimo. Hii ni sekta nyeti ambayo inamchango mkubwa katika uchumi wa nchi zaidi ya asilimia 25 na kuajiri nguvu kazi zaidi ya asilimia 75. Lakini sekta hii inachangamoto mbalimbali kama mabadiliko ya tabianchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.