Habarini wapendwa,
Mimi ni mkazi wa moshi,Kilimanjaro nilikuwa nahitaji mfanyakazi wa ndani ambaye atakuwa tayari kufanya kazi za ndani,nahitaji awe mpole mwenye upendo na heshima awe muislamu.Kuhusu mshahara atataja yeye mwenyewe ni kiasi gani anahitaji,pamoja na maslahi yote anayopaswa kupewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.