Hayo ndiyo maisha ya ubaguzi mkubwa kwa tanzania ya sasa yenye maamuzi ya kisanii he ni kweli aliyeonekana kujutia matendo aliyofanya ni lulu tu?hakuna tena?he kamera ilimtizama lulu tu na wala c wengine?ni kweli maskini hana thamani kwa nchi hii,kuna kinamama wanawatoto wadogo kule...
MUNGU kk uumbaji wake hakuna mahara alikosea tena na maarifa alikupa lkn vyote uvitakavyo utavipata ikiwa tu utajishugulisha na kuitafuta AMANI ,AMANI ni tulizo la kila kitu jitenge na ukosefu wa Amani kila kiungo kitakuwa vile utakavyo lkn kama AMANI haipo kawaida viungo husinyaa vinakuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.