Recent content by hakiim ndagile

  1. H

    JamiiForums Tanzania Mwanza - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Acha kupost ujinga we we, eti ukanda na ukabila! Pemba je? Hata iweje "Charity starts at home"
  2. H

    JamiiForums Tanzania Lowassa amebakiza jambo hili tuu kutangazwa mshindi

    Mlimsikiliza Bulembo Jana!!!!!!!!? Eti "hawatakubali upinzani kutawala nchi hii!!!!!" Tume ya uchaguzi hamkuyasikia hayo? Mbona kimya?
  3. H

    JamiiForums Tanzania GE2015 Ilani ya CCM 2015-2020 - Uchaguzi Mkuu 2015

    Walikataa maoni yetu ya katiba mpya tuliyoitaka nasi lazima tuwakatae sio kuja kututawala kidiktater kwa katiba hii mbovu!
  4. H

    JamiiForums Tanzania Nashauri iitwe mahakama ya ufisadi na ukwepaji kodi!

    Mahakama hiyo ikianza ianze kusikiliza masuala ya Escrow na wahusika wake!
  5. H

    JamiiForums Tanzania Magufuli akiwa rais, atafanya kazi na nani?

    Hatofanya lolote jipya mpaka awe mwana UKAWA. Kwa katiba hii ya ukandamizaji tusitegemee miujiza. Tunataka katiba ya wananchi ndo itatoa kiongozi bora.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Dr. Magufuli apata tuzo ya vijana ya kiongozi mfano nchini Tanzania

    Tatizo si Magufuli, tatizo ni ccm.!
  7. H

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe aongea na Waandishi wa habari, anaendelea Vizuri

    Pole PM mtarajiwa tunakuombea upone mapema. Usikate tamaa hata rais Kikwete alianguka jukwaani na sasa kamaliza muda wake.
  8. H

    JamiiForums Tanzania Dk. Slaa ajiuzulu CHADEMA, Akasirishwa Lowassa kupokelewa bila masharti!

    Oh, Dr where are you? Speak it out? We are in dilemma!
Back
Top Bottom