Jamani, misahafu inasema kuwa, siku za mwanadamu ni miaka 70 na akiishi sana 80. Hivi mnajua tuko karne ya 21 na bado miaka kadhaa iishe, ila kwa kunukuu sentensi hiyo hapo juu, ni lazima wote tuishie kwenye karne hii. Hivi unaanda vipi maisha yako kwa ajili ya baadae? au una mawazo gani? jaribu...