Recent content by hafidhasha

  1. hafidhasha

    SoC02 Kijana, jiwezeshe kabla hujawezeshwa

    Asante Sana ndugu....Mimi Kwa mtazamo wangu naona katika Jambo la internet bado hatuna taaluma ya kutosha jinsi ya kuitumia Kwa ajili ya kuleta maendeleo, hata katika familia nyingi za kitanzania unakuta mtu anakatazwa kabisa kutumia, na upatikanaji pia wa internet yenyewe nao ni mdogo, walimu...
  2. hafidhasha

    SoC02 Kijana, jiwezeshe kabla hujawezeshwa

    [emoji848][emoji848][emoji848]
  3. hafidhasha

    SoC02 Yafanyike haya kuikomboa NHIF

    Hongera Sana Kwa nakala nzuri [emoji122][emoji122][emoji122]
  4. hafidhasha

    SoC02 Kijana, jiwezeshe kabla hujawezeshwa

    Sawa usijali, nitapitia nitoe maoni yangu
  5. hafidhasha

    SoC02 Kijana, jiwezeshe kabla hujawezeshwa

    Nzuri, asantee [emoji3526]
  6. hafidhasha

    SoC02 Kijana, jiwezeshe kabla hujawezeshwa

    Asanteee, nawe ubarikiwe [emoji4]
  7. hafidhasha

    SoC02 Kijana, jiwezeshe kabla hujawezeshwa

    Ni matumaini yangu lisaidie wengi kuamka na kupambana zaidi [emoji123][emoji123]... asantee
  8. hafidhasha

    SoC02 Kesho ya Afrika ipo katika mtandao

    Kama Africa tuna Mambo mengi Sana mazuri ya kujivunia na kuyatangaza duniani, tunakwama kwenye kuanza, Mimi naamini hili Jambo likianzishwa tutafika mbali Sana...Safari ya hatua 1000 huanza na hatua 1...tujipange, tuanze, tujiamini tutafanikiwa...hongera Sana Kwa idea nzuri...
  9. hafidhasha

    SoC02 Kijana, jiwezeshe kabla hujawezeshwa

    Asantee, Kura yako tafadhali [emoji1431]
  10. hafidhasha

    SoC02 Kijana, jiwezeshe kabla hujawezeshwa

    Asanteee...naomba nipigie Kura [emoji1431]
  11. hafidhasha

    SoC02 Kijana, jiwezeshe kabla hujawezeshwa

    Asante, ni kweli wazazi ndio walimu wa awali Kwa watoto, na wanachukua nafasi kubwa Sana katika maendeleo Yao, kiakili, kiuchumi na kielimu...Wana jukumu tukufu na tuwashukuru wanaotupa muelekeo chanya [emoji1431]
  12. hafidhasha

    SoC02 Kijana, jiwezeshe kabla hujawezeshwa

    Kuna sehem katika mfumo mzima wa taaluma tunakwama, tunatakiwa tutafakari tujue tatizo liko wapi ndioo tutaweza kujua tunafanyaje kulitatua...binafsi mwenyewe nipo njia panda
  13. hafidhasha

    SoC02 Kijana, jiwezeshe kabla hujawezeshwa

    Asante [emoji3059]
Back
Top Bottom