Recent content by HAFIDH ALEY

  1. H

    HIBAZONE

    TEMBELEA www.hibazone.com uweze kuacess na kukua kitaaluma
  2. H

    BIASHARA

    TUNAKARIBISHA MATANGAZO YA AINA ZOTE KWA BEI NAFUU KABISA KATIKA MTANDAO WETU www.hibazone.com BIASHARA NI MATANGAZO TUFATE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0629206801
  3. H

    FURSA FURSA

    HABARI ZENU TUNATAFUTA MTU/WATU AMBAO WATATUPATIA NOTES NZURI SANA ZA MASOMO YOTE YA SEKONDARI NA PRIMARY(primary class 1-7, o level na a level) NOTES HIZO ZINATAKA KUCHAPISHWA KWENYE WEBSITE BAADA YA KUHAKIKIWA NA WATAALAM WA FANI YA UALIMU AMBAPO WANAFUNZI WATAZITUMIA KWA AJILI YA KUJISOMEA...
  4. H

    Msaada wa notes za kufundishia kuanzia primary mpaka advance level

    SIKUJA HAPA KWA AJILI YA MAJIBIZANO NIMEKUJA KWA AJILI YA MSAADA KAMA HAUNA MSAADA KAA KIMYA NA ALIENAO ANITAFUTE
  5. H

    Msaada wa notes za kufundishia kuanzia primary mpaka advance level

    1ninachokiamini ni kuwa mwanafunzi hawez kusolve kitu kikubwa kama kidogo hajakiweza kwa maana mwanafunzi akipata notes zenye concept bora zitaweza kumsaidia kukabiliana na vitu vikubwa mbele na hilo ndo ambalo nataka nilione. 2.sio kama nimeshindwa kuandaa mwenyewe lakini haimanishi kutumia...
  6. H

    Msaada wa notes za kufundishia kuanzia primary mpaka advance level

    nitawaharibu wanafunzi kinamna gani ukiangalia mfuñdishaji bora wa physics dar ni moody na baada ya lecture huwapa wanafunzi wake pamphlet zenye notes bora
  7. H

    Msaada wa notes za kufundishia kuanzia primary mpaka advance level

    ata kama ni hivo ila ni kwa ajili pia ya kuwanufaisha wanafunzi wetu
  8. H

    Msaada wa notes za kufundishia kuanzia primary mpaka advance level

    ili mwanafunzi aweze kufanikiwa vizuri ni lazima apate mwalimu alie bora pamoja na notes bora za kujisomea kwa hiyo notes bora si sababu ya mwanafunzi kuwa kilaza
  9. H

    Msaada wa notes za kufundishia kuanzia primary mpaka advance level

    Wakuu naomba kama kuna mwalimu yeyote au mtu yeyote mwenye notes za masomo yote kuanzia ngazi ya primary hadi advanced level zilizo na maelezo mafupi na mazuri kwa mahitaji ya wanafunzi ili kuelewa haraka nazihitaji. Nahitaji nizitoa copy ili niwape wanafunzi wa mashule. Asanteni
Back
Top Bottom