SEHEMU YA 198
YUMA: Siwaangushi. Yani napita mule mule kama tulivyojadiliana jana.
ISSA: kumbe jamaa anatafutaga sifa za bure lakini anakukubali kinoma?
YUMA: Ndio hivyo. Siku zote anayekuchukia, anakutamani.
Waliendelea kujisifia kule nyuma pasipokujua kwanini Frank amekataa kwenda mbele...
SEASON 10
TAMTHILIA: MTU ALIYETHIBITISHWA KWA MAISHA YANGU
CERTIFIED PERSON OF MY LIFE (CPL)
[emoji3590][emoji91]
( SEHEMU YA 196&197 )
Happy moyoni alitegemea Frank lazma atasimama kwenda mbele. Hata Maria alijua Frank hawezi kishindwa kitu, lazma ataenda tu. Lakini Frank hakuwa na mpango...
Ofa ya story mpya!!!
[emoji39][emoji3590][emoji91]
Zote 4 pamoja na kitabu cha Sayansi ya Tabia by JoelNanauka
kwa tsh 1800 tu!!
1.mtu [emoji16]
2.kiraka kwenye nguo ya ndani🥹
3.kifo cha mwanangu[emoji24]
4.mngeniaga wazazi wangu mmeondoka mmeniachia mateso🥹
5.kitabu cha sayansi ya...
SEASON 10
TAMTHILIA: MTU ALIYETHIBITISHWA KWA MAISHA YANGU
CERTIFIED PERSON OF MY LIFE (CPL)
[emoji3590][emoji91]
SEHEMU YA 194&195
Frank kama kawaida yake, alienda kukaa kwenye siti ya mbele. Mioyo ya warembo wawili bila wao kujuana ilifurahi sana baada ya ujio wa mwanaume huyo. Happy...
Ofa ya story mpya!!!
[emoji39][emoji3590][emoji91]
Zote 4 pamoja na kitabu cha Sayansi ya Tabia by JoelNanauka
Whatsapp 0768315707
kwa tsh 1800 tu!!
1.mtu [emoji16]
2.kiraka kwenye nguo ya ndani🥹
3.kifo cha mwanangu[emoji24]
4.mngeniaga wazazi wangu mmeondoka mmeniachia mateso🥹
5.kitabu...
( SEHEMU YA 191 )
FRANK: Sijapanga kuongea kesho, kesho nitakuwa msikilizaji, yaani naenda na daftari
langu kubwa kwa ajili ya kuandika vitu.
HAPPY: Mmh sawa. FRANK: Sawa, kuna kingine?
HAPPY: Kwahiyo unataka kusema hata kama atakayeongoza akiongea point za uongo utakaa kimya?
Happy...
SEHEMU YA 189
HAPPY: Yani mimi natamani sana kesho Frank aongee ikiwezekana mwanzo hadi mwisho.
MARIA: Tena na zile pointi zake! we acha tu.
HAPPY: Na venye amesema kesho lazma aende yani nitabeba na counter book la kuandikia mapointi.
MARIA: Mimi nitachukua kile kidaftari changu kikubwa...
SEHEMU YA 187
FRANK: Kwanza hakutaka hata kunisalimia, alafu uliondoka bila kuaga, yale yote yalinifanya nigundue nimefanya kosa.
LOVE: Sasa kama ulifanya kosa kwanini hukuniomba msamaha mapema , umesubiri hadi mimi nije?
FRANK: Nadhani hilo ni kosa langu la pili, naomba nisamehe.
(Love...
[emoji3590][emoji91]
( SEHEMU YA 186 )
FRANK: Hallo!
LOVE: Samahani, nataka nije kwako muda huu, vipi unaniruhusu?
Frank akawaza; Ni muda mfupi amemwambia Happy asiende kwakuwa amechoka. Kabla hajatulia Love nae anataka kwenda, si majaribu hayo?.
Laiti kama angejua Happy na Love wanakaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.