Nasikia Black friday ya Jumia imerudi kwa mara nyengine tena na safari hii unapata zaidi, unaweza kupata vitu vyenye punguzo la bei mpaka 70%. Inasemekana inaanza kuanzia tarehe 21 mpaka 25, mwezi huu. Jamani kuna mtu alishawahi kushiriki kwenye hii sale kipindi cha nyuma ili atupe maelekezo zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.