KUNDI linalomuunga mkono Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, katika harakati zake za kuingia Ikulu Oktoba, mwaka huu, linalojulikana kama ‘Friends of Lowassa', limeandaa tukio kubwa la kihistoria wiki hii.
Kwa mujibu wa taarifa za ndani ya kundi hilo zilizolifikia gazeti hili...