1. Kutojifunza Kila Siku
Kila siku tunapaswa kujifunza angalau kwa dakika kumi na tano kwa sababu mafanikio yanatokana na kuongeza maarifa kila siku na si kila mwaka. Kama hujifunzi, unazeeka kiakili hata ukiwa bado kijana. Hakuna maendeleo bila upanuzi wa akili na kama huna muda wa kusoma leo...
Ukweli Mchungu ni Kwamba....
Kila kitu kinachotokea kwenye maisha yako kina mzizi mmoja: NAMBA.
Na cha kushangaza zaidi?
Namba hazidanganyi. Hazisahau. Hazisamehi.
Kipato chako ni namba
Matumizi yako ni namba
Akaunti yako ya benki ni namba
Uwekezaji wako ni namba.
Na hata kufeli kwako —...
Rafiki Mpendwa...
Ikiwa umemaliza chuo, au una simu/laptop yenye intaneti, lakini bado hujawahi hata kupata elfu kumi tu kupitia mtandao—basi hii barua ni ya KWAKO.
[Uzi huu ni wa dakika 3 tu – lakini unaweza kukupa TURNING POINT]
Report zinasema Karibia Kila mwaka zaidi ya vijana 100,000...
⚠️ TAHADHARI: Usiruhusu Kabisa Nusu ya Pili ya 2025 Kukukuta Ukiwa na Hawa MAADUI Wawili Watakumaliza Kiuchumi Bila Huruma!
...na hata hivyo ni kwa sababu nakujali ndio maana nimeamua nikutahadharishe,
Maana bila hii tahadhari, huenda fedha zako zikawa kwenye maafa yasiyoelezeka.
Hawa MAADUI...
📆 Mei 29, 2025 Jioni...
Nilikuwa nimetulia chumbani kwangu Huku niki-scroll Tu Instagram — boom! Nikakutana na post Kumuhusu:
"John D. Rockefeller Yenye mkusanyiko Wa barua 38 kwa mwanae kuhusu mafanikio. Hizi barua Niliandikwa Kwa sentence fupi fupi Tu
Sikupoteza muda... Nikaamua...
…Mwaka 2013…
Huu ulikuwa mwaka ambao dunia ilishuhudia Nokia, kampuni kubwa na ya heshima, ikitangaza kuwa imeuzwa kwa Microsoft.
Katika mkutano wa habari, mkurugenzi mkuu wa Nokia alisimama mbele ya kamera na kusema maneno haya:
"We didn't do anything wrong, but somehow, we lost"
“Sisi...
… May 2022…
Ndio mwaka ambao nilianza kuelewa siri ya kweli ya utajiri...
Kabla ya hapo, nilikuwa naamini kuwa njia pekee ya kuwa tajiri ni kufanya kazi kwa bidii, kusave kila senti na kuepuka matumizi yasiyo ya lazima...
Lakini siku moja, wakati natazama Semina YouTube ya uwekezaji ambapo...
Mtego Huu Si Mwingine ni Huu Hapa Chini
.
Ni uwekezaji wa kitapeli (Ponzi schemes)
.
Ponzi scheme Nini utauliza??
.
Well, Ponzi scheme ni mfumo wa kitapeli ambapo watu wanaahidiwa faida kubwa, ya uhakika (guaranteed) na risk yake ni ndogo,
.
hali hii inayowafanya wengi kuvutiwa na kuweka fedha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.