Recent content by Ha slaka

  1. H

    JamiiForums Tanzania Safari yangu ya utafutaji wa ajira

    Habari. Nimeuona.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Safari yangu ya utafutaji wa ajira

    Pole.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Safari yangu ya utafutaji wa ajira

    Sina connection Mkuu.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Safari yangu ya utafutaji wa ajira

    Asante kwa comment yako.
  5. H

    JamiiForums Tanzania Safari yangu ya utafutaji wa ajira

    Pole mkuu, huenda una stress. Ngoja nijitahidi kukuelewa tu.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Safari yangu ya utafutaji wa ajira

    Karibu
  7. H

    JamiiForums Tanzania Safari yangu ya utafutaji wa ajira

    Mkuu, umeelewa kilichoandikwa?
  8. H

    JamiiForums Tanzania Safari yangu ya utafutaji wa ajira

    Asante Mkuu
  9. H

    JamiiForums Tanzania Safari yangu ya utafutaji wa ajira

    Nimeandika Mkuu haya yanatosha kutoka kwangu Asante. Ila kazi nilipata toka 2021.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Safari yangu ya utafutaji wa ajira

    Kwako yanaweza kuwa ya kawaida na kwa mwingine yasiwe ya kawaida. Kazi ninayofanya, kampuni, mshahara hayo ni personal siwezi kusema na halikuwa lengo la hee thread.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Safari yangu ya utafutaji wa ajira

    Habari wana JF July 2021 nilikuja humu kwa wana JF nikiwa natafuta kazi Click here for the reference. Nataka kushare na nyie wadau mambo niliyojifunza katika utafutaji wangu wa ajira, pengine kuna mtu itamsaidia hasa sisi tusiokuwa na connection. Kuna post ya mdau hapa JF niliiona ilikuwa...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Electrical Engineer Graduate natafuta kazi

    Asante mkuu
  13. H

    JamiiForums Tanzania Electrical Engineer Graduate natafuta kazi

    Asante mkuu kwa ushauri, kama nilivyosema hapo awali bado naendelea kutuma maombi, KUKATA TAMAA KWANGU NI MWIKO. Nisingelileta hapa JF nisingepata hata huu ushauri wako.
  14. H

    JamiiForums Tanzania Electrical Engineer Graduate natafuta kazi

    Ni kupata internship ili niongeze experience
  15. H

    JamiiForums Tanzania Electrical Engineer Graduate natafuta kazi

    Mkuu nimeishatuma CV kwenye hizo Company na bado naendelea kutuma ila sijibiwi. Na wengine ambao wana connection naona wanapata hata bila kutuma CV, ndipo nikagundua wengi hawaangalii ujuzi ila nani kakupeleka. Ndio maana nikalileta hili swala hapa Jamiiforums ambapo najua kuna watu wanaweza...
Back
Top Bottom