Recent content by H. w Salu.

  1. H

    Chuo ni chuo

    kijani11 , mkuu naona unamrudisha anaetubu kwenye makosa yale yale anayoyajutia !, usimrudishe bhana ! , haha hahaa!
  2. H

    Chuo ni chuo

    That's what is needed .. "Changes"
  3. H

    Jamani hivi mwalimu mweye degree

    Lazima wabadilike , hili jukwaa wanalichezea mno , ila naamini wengi sasa watajirekebisha ..
  4. H

    Jamani hivi mwalimu mweye degree

    Mkuu kwa mbaaali naona vijana wanasawazika na kujirudi tartiiiib !, hahaaaa !
  5. H

    Chuo ni chuo

    ha ha haaa !, mkuu Excel !, a big brother is watching ! , hahahaaaa !
  6. H

    Jamani hivi mwalimu mweye degree

    haha hahahaaa mkuu lusungo !
  7. H

    Mwalimu umepangiwa Wilaya gani? Kutana na wenzio Hapa

    kunani tena huko kwa ole sendeka ?
  8. H

    Ni vitu gani muhimu Mwalimu unavyotakiwa kuwa navyo wakati wa kuripoti kazini?

    Perry, holygrail na anayejiita mpigamsuli huwa nashindwa kuelewa nia yao hasa humu ndani !, hawajawahi kuwa na mchango ulio productive hata mara moja tu !, sijui malezi waliyopewa kama waliyashika vizuri maana kauli zao ni za kujifukizia laana miilini mwao !, I feel sorry for them. .
  9. H

    Chuo gani kinatoa kozi ya Project Planning Management and Community Development

    Perry, holygrail , bado mpigamsuli kabla ya timu kukamilika !, kauli zenu zitawameza na mtashindwa kutoka humo !, its just a matter of time .. Hivi are you encouraging !, convincing an idea or discouraging ! _ for you _more are yet to come .. Anyway all the best to you all..
  10. H

    Jamani kama kawaida ya fununu za ajira za walimu wapya

    Rekebisha uandishi wako ndugu yangu Mwalimu Mohath , usituweke mashakani tafadhali !
  11. H

    Changamoto kwa mliopewa dhamana katika sekta hii inayozidi kuangamia !

    Kwa muda wote ambao serikali imekaa kimya na kubaki kukomalia kauli za kisiasa kuhusu ajira za walimu tofauti na miaka mingine sipati picha kama bado kutakuwa na kero katika halmashauri kwa walimu watakaopangiwa kuripoti, nakumbuka katika halmashauri moja mwaka 2012 _ Afisa mmoja alifungiwa...
  12. H

    credt 2,pass 2 pamoja na E 3

    Ameogopa hata kuandika kuwa ana div. Four ya point 36, aisubirie wizara impe maelekezo maana !, mh ! , kiza kinene !!
  13. H

    Ajira za walimu wapya hizoo!

    RSR sema chanzo ni ww mwenyewe ktk kitengo au karibu na idara ! ;kwi kwi kwi !, kweli humu ndani unaweza hata ku-act ka-obama !
Back
Top Bottom