Recent content by H r n

  1. H r n

    JamiiForums Tanzania Madereva mnapata wapi nguvu ya kuendesha Bodaboda bila 'Side Mirror?'

    Wakuu mpo good Leo asubuhi nimeamka nikiwa nimechelewa kwenda kazini. Nikatoka nje kwa haraka, nikakutana na boda mmoja nikamsimamisha. Nikamuuliza, “Mwanangu, nataka kwenda sehemu fulani, mpaka huko ni shingapi?” Akaniambia bei yake, nikakubali. Tukapanda, safari ikaanza fresh kabisa. 😅...
  2. H r n

    JamiiForums Tanzania Hivi ulishawahi kupenda mtu, mpaka ukimwona unamwogopa!

    Hujapenda ww pole
  3. H r n

    JamiiForums Tanzania Hivi ulishawahi kupenda mtu, mpaka ukimwona unamwogopa!

    Mie sijasema wachawi hapo au mie nimesema nenda kwa wataalum siyo wachawi
  4. H r n

    JamiiForums Tanzania Hivi ulishawahi kupenda mtu, mpaka ukimwona unamwogopa!

    Wapi weweee
  5. H r n

    JamiiForums Tanzania Hivi ulishawahi kupenda mtu, mpaka ukimwona unamwogopa!

    Walau tunapunguza ukali na maombi
  6. H r n

    JamiiForums Tanzania Hivi ulishawahi kupenda mtu, mpaka ukimwona unamwogopa!

    Nenda kwa wataalamu utengenezweee
  7. H r n

    JamiiForums Tanzania Hivi ulishawahi kupenda mtu, mpaka ukimwona unamwogopa!

    Hahaha pole 🤣
  8. H r n

    JamiiForums Tanzania Binti Ana Ujauzito wa Miezi 3, Sasa Wazazi Wake Wanataka Nikae Naye—Lakini Bado Sijajipanga

    Hapana just face your own responsibility ukweli mchungu siyo kwa ubaya just face your own responsibility
  9. H r n

    JamiiForums Tanzania Hivi ulishawahi kupenda mtu, mpaka ukimwona unamwogopa!

    Mwambie
  10. H r n

    JamiiForums Tanzania Hivi ulishawahi kupenda mtu, mpaka ukimwona unamwogopa!

    Nataka niokoke
  11. H r n

    JamiiForums Tanzania Binti Ana Ujauzito wa Miezi 3, Sasa Wazazi Wake Wanataka Nikae Naye—Lakini Bado Sijajipanga

    Aiser vijana wa karne hii mungu atusaidie running away from your own responsibility wakati unaweka hukujua matokeo yake ,
  12. H r n

    JamiiForums Tanzania Hivi ulishawahi kupenda mtu, mpaka ukimwona unamwogopa!

    Nisaidiwe mimi lasivyo😀
  13. H r n

    JamiiForums Tanzania Hivi ulishawahi kupenda mtu, mpaka ukimwona unamwogopa!

    Amanita huyu nikomwana pressure juu natamani nimwone tu ,yaani angetaka hata dunia yote niwe na uwezo nayo ningewauza wote humu am in love with dangerous person 😄
  14. H r n

    JamiiForums Tanzania Hivi ulishawahi kupenda mtu, mpaka ukimwona unamwogopa!

    Unatetema kama mayele Hahaha tafuta kanisa lolote enda ombewaa
  15. H r n

    JamiiForums Tanzania Hivi ulishawahi kupenda mtu, mpaka ukimwona unamwogopa!

    Mie mimi ndio 😀 natesekaaaa mno mapenzi shikamo
Back
Top Bottom