Recent content by H O P

  1. H

    Naombeni ushauri wakuu

    Hakukuwa na haja hata ya kukaa hicho kikao. Mwanamke akikwambia hana hisia na wewe au hakuhitaji unatakiwa uachane nae. Mahusiano yanataka utayari wa pande zote mbili ili yaweze kudumu na kuepusha kuumizana. Ni hatari sana kuishi na mwanamke ambae moyo wake uko sehemu nyingine.
Back
Top Bottom