Recent content by gynel

  1. G

    JamiiForums Tanzania East Coast College is looking for an accounting teacher

    wenye qualifications waapply ila mmmhh bora kufanya kazi kampuni ya mbongo kuliko muhindi
  2. G

    JamiiForums Tanzania East Coast College is looking for an accounting teacher

    hicho chuo ni cha wahindi na ni wagumu sana kulipa simshauri mtu aapply anaweza kuingizwa chaka, napita tu wadau
  3. G

    JamiiForums Tanzania Utumishi wametoa nafasi nyingine

    Asante nimeziona
  4. G

    JamiiForums Tanzania Utumishi wametoa nafasi nyingine

    Zimetangazwa lini?
  5. G

    JamiiForums Tanzania ACCA center DSM

    check na east coast college, wapo red-cross building, 3rd floor ni centre pia, check on them for more details,
  6. G

    JamiiForums Tanzania LL.B 1st class holder

    Apply kazi zs utumishi mediator and abitrator hopefully utapata kazia Mungu ni mwema.
  7. G

    JamiiForums Tanzania jamani utumishi tena ajira mpya hizo

    Yah ni kweli zipo angalia kwenye website yao
  8. G

    JamiiForums Tanzania jamani utumishi tena ajira mpya hizo

    Hata zile zingine za TAA niliziona kwenye zoom baadae nikazikuta kwenye website yao, so i dont know mayb zimewekwa kimakosa
  9. G

    JamiiForums Tanzania jamani utumishi tena ajira mpya hizo

    Nimeziona kwenye zoom
  10. G

    JamiiForums Tanzania jamani utumishi tena ajira mpya hizo

    Arbitrator II (Forty Posts) The Public Service Recruitment Secretariat Date Listed: May 24, 2013 Phone: No Phone Calls Area: Dar Es Salaam Application Deadline: Jun 06, 2013 Position Description: Duties and...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Matapeli wamerudi na message ya aina tofauti

    kuna watu wengine sio wazima sembuse hata na wao wanafanya kazi na hao matapeli huwezi kumsupport tapeli wakati anarudisha nyuma maendelao ya watu.
  12. G

    JamiiForums Tanzania Matapeli wamerudi na message ya aina tofauti

    Wamebadilisha message be careful frndz. namba ya huyo mtu ni 0652795853 Morning, Nimepata Cv Yako Naifanyia Mchakato Upate Hii Kazi By Wednesday. Send 20,000 By Tigo Pesa Then Ntakupa Maelekezo Zaidi Badae. Kazi: HR Officer, Company-Oren Ltd, Location-Mikocheni B. Salary-2 Million(monthly)...
  13. G

    JamiiForums Tanzania SEARCH FOR COMMON GROUND-job

    Kusema kweli i beleive watu wanaofanya hivyo ni matapeli mimi nimewahi kufanya nao kazi hao watu hawana mambo kama hayo lazima hao ni matapeli try n understand dnt just critisize someone bila evidence.
  14. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta field

    Aombe serikalini kama yupo dar awahi kuomba utumishi atapata experience nzuri sana watamueweka kiyengo cha procurement apeleke kwa hr pale utumishi
  15. G

    JamiiForums Tanzania URGENTLY REQUIRED: PR & Marketing Executive

    Kwanini? Unaona wanazingua au?
Back
Top Bottom