unaposema tupigie kula katiba hii inayopendekezwa,inamaana tutumie mawazo yako na utashi wako .kwa mtu anayeipenda Tanzania kulikuwa hakuna ulazima wa katiba hii kupitishwa mwaka huu, ebu tuangalie ndani ya miezi 6 tuna mambo makuu 3 yani KATIBA,DAFTALI LA KUPIGA KULA NA UCHAGUZI MKUU hivi kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.