Nimemalizana na JANG OK JUNG, LIVING BY LOVE.
Zamani nikiwa kijana nilidhani drama kuwa nzuri lazima iwe na action nyingi, vita na ubabe, drama iliyokosa hivyo vitu niliiona kuwa mbaya. But baada ya kuitazama DONG YI, THE JEWEL IN THE CROWN ilibadilisha mtazamo wangu kuwa drama inaweza kuwa...
Hahaha, huyu Jang ok Jung ndiye steling mwovu niliyewah kumwona.
She's giving her enemies nightmares
But huyu queen inhyeon kote kaonewa sana na Jang ok Jung. Kwenye Dong Yi na hii jang ok jung the living love
Jang ok Jung anawapa nightmare maadui zake.
(Dong Yi, Jang ok jang na Royal Gambler) zote hizi zina eleza visa wakati wa Mfalme Suk Jeong. But story tofauti.
Ni muda wa kurejea viporo vyangu since 2020.
Now nimeanza na MY SASSY GIRL, niko episode ya 5. Humu ndani kuna wendawazimu kibao. Kama unapenda comedy karibu maana imekusanya wajinga kutoka MORDEN FARMERS
kazi ipo YouTube( SBS World)
Nipo nusu ya safari( episode ya 12) kazi ya mwanamama HAJI WON, hii kitu ilitoka 2006 inaitwa HWANGJIN.
Sometimes tusiwalaum sana hiki kukosa kazi kali maana kazi za zamani zote zilikuwa kali, walishamaliza utamu wote. Ukitazama unafeel korean culture, creativity & genuineness. Hii kazi inakupa...
HII BLADES OF THE GUARDIANS ilifaa kuwa series iagusa visa wakati wa Sui Dynasty. The best martial art film to watch in 2026.
Wu jing, Nicholas tao, Max Zhang & Jet li.
Muda huu bado natafuta historical drama nzuri za kikorea, je wachina historical drama zao ni nzuri siku hizi?
Kwangu mimi ni "Okay drama" inastahili muda wako.
Kama uliipenda A Scholar Who Walks the Night. hata hii utaipenda, hii inazungumzia roho zilipo kwenye jumba la kifalme wakati ile inazungumzia Vampire.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.