Onyo: Watu hao hawawezi kummaliza Zitto kisiasa bila kuiathiri CHADEMA maana the imaage of Zitto is so intimately intertwined with CHADEMA that you couldnt attack Zitto without jeopardizing the image of Chadema, and vice versa.----ZITTO KABWE...am waiting to see how valid is this statment from ZITO
AKILI NDOGO INAONGOZA AKILI KUBWA.....uwezo wa zito ni mkubwa kuliko wa mwenyekiti wa chama...kam hutaki we sikulazimishi coz najua moyo wako unajua ukweli huu.
haya yangesemwa na mtu mwingine dhidi ya mbowe au slaa ungesikia mtu anafukuzwa uanachama kwa kumsema kiongozi wa chama kwenye mitandao...leo ksemwa zito kiongozi mkubwa tu katika chama hakuna atakeyeitisha kikao badala yake tutaambiwa ni maoni binafsi....
MIMI naona lile tatizo ambalo msigwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.