Labda uelewa wangu mdogo ! Kama matamshi yake yalileta matokeo tar 29 October anachomokaje? Anasemaje hana kesi ? Naomba wajuvi bila kunifokea mnieleweshe
Yaani unauliza kitu kipo wazi ! yaani wahuni wavamie mitaani wakichoma na kupora mali na kuvamia vituo výa police na kuiba siraha na uniform za police ulitaka police wawajibu kwa kuwamwagia maji?
wale walikuwa wahuni maharamia tu walifika mahali wakawaua police na kukata vidole watu! Hali Ile...
Document iliyoletwa mahakamani siyo kutoka bank ni mtu aliyemuwekea pesa bank ndiyo kawapa mawakili na nyingine imesqmbazwq mtandaoni ! Documents ya bank ni statements iliwa na seal ya bank
Ukimsikiliza Mnyika Kichadema utashangilia kuwa amejibu vizuri na utamuona kama Genius ..ila kwa jicho la sheria Kuna vitu vingi anamtia hatiani lisu kwenye maeneo mengi Sana! wacha kesi iishe tuone
Mkuu upo sahihi sana , Tatizo la Tanzania hivyo vyama vingine vyote jamaa wanavitawala mpinzani pekee ni CDM na ndani ya CDM pia wamewekwa watu wao so kushinda uchaguzi kwa Tanzania wasahau
mi napendekeza vyama vyote vya ukweli viwaunganishe wananchi kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.