Recent content by Gustavos

  1. Gustavos

    LG v20 au LG g6 refubrished toka AliExpress ziko vizuri?

    Mimi bujeti yangu ni 240000 tsh mkuu nimechoka tecno ikifika mda flani zina anza ku stuck sana
  2. Gustavos

    LG v20 au LG g6 refubrished toka AliExpress ziko vizuri?

    K Aka oyo xiamomi si zinakua na gharama sana
  3. Gustavos

    LG v20 au LG g6 refubrished toka AliExpress ziko vizuri?

    Ebu Nielekez3 kidogo kaka nisiangukie pua
  4. Gustavos

    LG v20 au LG g6 refubrished toka AliExpress ziko vizuri?

    Sawa ndugu vipi kuhusu izo simu kupata moto mara kwa mara kama v10 na v20 naskia zina tabia yaku pata moto ata bila ku washa data
  5. Gustavos

    LG v20 au LG g6 refubrished toka AliExpress ziko vizuri?

    Ok naangaliaje izo frequency zake na na nilikua na uliza ivyo maana ninanyo sikia iyo simu ni water proof ila umo wameandika sio ndo sijajua kama ni copy au laa
  6. Gustavos

    LG v20 au LG g6 refubrished toka AliExpress ziko vizuri?

    Naomba muongozo kwa yule ambae amewahi nunua refubrished lg v20 au lg g6 aliexpress maana nataka nitoke kwenye shida za tecno naomba msaada wenu tafadhali. Nakama una weza nieleza kwa simu hiyo naweza lipia kodi hadi bei gani.
Back
Top Bottom