MAJAKI BATIKI FASHION ni wataalam wa kutengeneza na kufundisha Batiki aina zote (BATIKI, TIE & DYE, BREACH, VIKOI + KANGA BATIKI, PICHA BATIKI na aina zingine nyingi)
Tunafundisha kwa bei nafuu sana na kwa muda mfupi. Mwanafunzi anapojifunza anapewa mbinu za kumfanya kuwa mbunifu ili...