Habarini wapendwa karibuni fried dagaa kutoka Mwanza dagaa watamu hawana uchungu wala mchanga kwa bei rafk sana karibuni.
Container dogo 2500
Container size ya kati 5000
Size kubwa 10000
Karibuna sana napatikan kwa 0688991793 Dar es salaam.
Habarini wana jamvi natumai wote ni wazima.
Nahitaji msaada wenu katika hili, nina mdogo wangu ana umri wa miaka 20 amepatwa na tatizo uke unatokwa na uchafu mwingi na pia wa rangi ya njano una harufu ya hamila na muda mwingine unatoka kama maziwa mgando.
Wapendwa naombeni msaada wenu mnijuze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.