Muda mwingine unadhani kususa basi utasikia kisa mumewe Hana muonekano wa mvuto so kakuta jamaa ananynyua vyuma ana kimkono kimevimba bas anakuwa analidhika basi 😁
Naomba NIONGEE hili jambo moja kwa moja hata kama sijatoa salamu..
Eeeenyiiii wazazi wa kike Kuna baadhi yenu mnapenda sana kuondoka/kutoka majumbani kwenu huku umebeba mtoto mgongoni au kumshika mkono ukiamini kwamba hata mzee akirudi nyumbani akiambiwa mama flani katoka na mtoto kunakuwa...
Mpaka nmefika apa nilipo nmekuzwa na single mother s kwamba wote wapo hvyo ila sikatai kwamba hawako sawa maana Mimi baada mama kusepa mzee alipata single mother akakaa nae na nililelewa na single mother huyo mpaka namaliza chuo na kuanza kazi ndipo nilipokosa hayo malezi yake..,ndilo nilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.