chonde chonde watanzania hizo fedha alizozitumia Lowasa atazirudishaje? na hao marafiki zake atawalipa nini? kweli kwa hali Tanzania ilipofikia tunahitaji kiongozi wa kununua madaraka? tuacheni ushabiki tuipende nchi yetu tupate kiongozi atayepinga matumizi ya rushwa ya aina yeyote tutoke...
kuna watu mnatia kichefuchefu, nchi yako na nani? hayo mawazo ni ya kwako na mke wako na magamba siyo ya watanzania, ulitaka warioa akusanya makaratasi na kanda zote walizorekodi apeleke kuwasomea wajumbe, wala hujui tume ya walioba ilitumwa kufanya nini kuna mambo mengine mnapotumwa kusema...
Nilishawahi kumsikia mama yake akisema utotoni Nape alikuwa na dalili zote za utahira, mama yake yuko pale kwimba ngudu ameweka makazi yake malya, kwa hili nakubaliana kabisa Nape anadalili zote za utahira
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.