according to criminal procedure act ya tanzania mtuhumiwa anapotiwa au anapokamatwa na polisi bila warrant of arrest sheria inamtaka polisi amfikishi mtuhumiwa kwa magistrate ndani ya masaa 24 kinyume na hapo kutakuwa na ukikwaji wa sheria hata hivyo fika mpaka mahakamani mueleze hakimu...
kwanza nenda mahakama ya mwanzo ukiwa na cheti cha ndoa na Sababu muhimu za kuvunja lipi pesa ya kufungua kesihaizidi elfu mbili pia omba mgawanyowa mali,matunzo ya watoto kwa kila mwezi na talaka na baada ya mahakamabkujiridhisha kuwapo na ndoa utaambiwa ombi lako limekubaliwa utakuwa mtu...
ni marufuku kuingilia uhuru wa mtu kwa kipiga picha za siri, taarifa yoyote ya mtu binafsi kwani huu ni uzalishaji na uvunjaji wa haki za binadamu na claimant anaweza kupata remedy au accused kupata kifungo cha ndani
katika ya mirathi inatuelekeza kwamba pindi mtoto wa nje anapotambulishwa na baba yake kwa familia ya mke mkubwa na kutoa faini mtoto wa nje ya ndoa amethibitishwa kuwa ni mtoto halali wa familia hiyo na anayo haki ya kurithi sehemu ya mali ya baba yake kwa maelezo zaidi nitafute kwa maelezo...
ukamataji wa polisi lazima uzingatie utu wa binadamu kama katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania inavyotamka ibada ya 12 (2) na kwenye CPA kifungu 11 how arrest made then 0757001400 kwa ushauri wa kisheria wasiliana nami kukujuza mengi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.