Recent content by Ground

  1. G

    Hili ndilo fumbo la kifo

    Wewe sio msemaji wa watu wote ulimwenguni, sema wewe ndiyo unaogopa kifo kwasababu watu wamejitolea kufa katika siasa, katika dini zao na haki zao nyingine za msingi.
  2. G

    Hili ndilo fumbo la kifo

    Sijaribu kujenga hoja ni maelezo zaidi kwako kufahamu juu ya Los Angeles na California
  3. G

    Hili ndilo fumbo la kifo

    Ni kweli aliuwawa lakini mechanism ya kufa ilikuwaje?
  4. G

    Hili ndilo fumbo la kifo

    Los Angeles (LA) ni mji na kata katika jimbo la California. Iko katika sehemu ya Kusini mwa Jimbo na iko katika ‘metro’ kubwa zaidi katika jimbo hilo — na si California. California ni jimbo kubwa (la tatu kwa ukubwa nchini Marekani baada ya Alaska na Texas) na ndilo jimbo kubwa zaidi kwa idadi...
  5. G

    Hili ndilo fumbo la kifo

    Kamwe huwezi kudanganya kifo. Michael Jackson alitaka kuishi kwa miaka 150. Aliteua madaktari 12 nyumbani ambao wangemchunguza kila siku kuanzia nywele hadi kucha. Chakula chake kilijaribiwa kila mara kwenye maabara kabla ya yeye kula. Watu wengine 15 waliteuliwa kutunza mazoezi yake ya kila...
Back
Top Bottom