Recent content by Grelima

  1. G

    Kwa anayejua nanna ya kufuta jina NACTE baada ya kuahirisha masomo anisadie

    Mimi barua nimeandika chuo yapata mwezi Sasa hawanijibu chochote na nacte nikienda pia wakaniambia hili swala wao haliwahusu hadi chuo wenyewe naomba msaada kwa anayejua nichukue hatua gani
  2. G

    Kwa anayejua nanna ya kufuta jina NACTE baada ya kuahirisha masomo anisadie

    Ulifutiwa usajili?Kam uifutiwa niambie na Mimi ulifanya hatua zipi maan Mimi Kuna chuo hawataki kunifutia usajili na barua nimeandika
  3. G

    Msaada Wa kozi ya Occupational Health and Safety

    Hakuna vigezo vingine vya kuajiliwa ukiwa na hvyo chet NOSHC1 na NOSHC 2?
Back
Top Bottom