Recent content by Greenwhich

  1. G

    Kinana awaita Makapi wote waliochujwa na CCM kwenye Uchaguzi wa ndani

    Aliyekuwa mgombea Urais CCM, Mussa Kalokola, alaani kauli ya Kinana ya kuwafananisha na Makapi Aliyekuwa mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM Musa Muzamill Kalokola amelaani vikali kauli ya jana ya Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana kwamba ambao hawakupitishwa kugombea Urais kupitia CCM ni...
  2. G

    Mkutano wa kuhitimisha Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM mikoani, A. Kinana jijini Mwanza - June 28, 2015

    Nasikia wanasomba watu kwa malori kutoka mawilayani tangu alfajiri
  3. G

    Makonda: Zitto ndiye mwanasiasa makini kwa upinzani

    Mkuu ndiyo uthibitishe leo tangu lini mtu aina ya Makonda akamsifia kiongozi makini wa upinzani? CCM amsifie upinzani? Kweli? Kwa CCM hii ninayoijua? Ulishawahi kuona lini Maalim Seif au Dr Slaa akisifiwana CCM?
  4. G

    Elections 2015 Mwita Waitara aitingisha Ukonga wakati akirejesha fomu za kugombea Ubunge CHADEMA

    Chadema haina mtu anayeitwa Henche... BTW..Kwa taarifa yako Chadema hatugombanii madaraka bali tunagawana majukumu..Unadhani ni kama CCM wanagombania Urais watu 40?
  5. G

    Makonda: Zitto ndiye mwanasiasa makini kwa upinzani

    Chadema haiwezi kupongezwa na CCM.Chadema inapongezwa na wanachama wake na wananchi. CCM kazi yao iliyobaki ni kupongeza michepuko yake Zitto na Mrema.
  6. G

    Makonda: Zitto ndiye mwanasiasa makini kwa upinzani

    Kwa kweli hata mimi nitashangaa sana kwa mwanaCCM asiyemkubali Zitto
  7. G

    Makonda: Zitto ndiye mwanasiasa makini kwa upinzani

    CCM bwana wanachekesha sana.Eti wanasiasa bora wa upinzani ni Zitto na Mrema.
  8. G

    Makonda: Zitto ndiye mwanasiasa makini kwa upinzani

    Ukitaka kumjua mtu tizama wanaomuunga mkono.Na ndege wa mabawa yanayofanana huruka pamoja. Ni lazima Makonda amtetee kibaraka wao aliyeko upinzani.Siku zote wanasiasa wanaosifiwa na CCM ni Mrema na Zitto. Kwi kwi kwiiiiii
  9. G

    Elections 2015 Mwita Waitara aitingisha Ukonga wakati akirejesha fomu za kugombea Ubunge CHADEMA

    CCM mnanifurahisha kuchangia thread za Chadema hata kama ni Negative lakini mnasababisha ziwe juu muda wote. Kwa niaba ya wote Asante sana Ritz
  10. G

    Elections 2015 Mwita Waitara aitingisha Ukonga wakati akirejesha fomu za kugombea Ubunge CHADEMA

    Kwa hiyo mtaachiana majimbo na Urais mtaweka mgombea mmoja kwa vyama shirika vya CCM na ACT?
  11. G

    Elections 2015 Mwita Waitara aitingisha Ukonga wakati akirejesha fomu za kugombea Ubunge CHADEMA

    Mkuu wangu mamakunda nikuhakikishie tu hakuna wa kumzuia mwita Waitara kuchukua ubunge Ukonga.CCM imekufa kifo cha mende kwa kushindwa kutatua matatizo ya wananchi hasa ubovu wa barabara zote za Ukonga. Unapoona michepuko ikimshambulia hapa ujue ameiweka CCM katika hali mbaya sana kisiasa..
  12. G

    Elections 2015 Mwita Waitara aitingisha Ukonga wakati akirejesha fomu za kugombea Ubunge CHADEMA

    Mkuu mbona hujanijibu? Nimekuuliza vipi kijana wetu anayezomewa kila mahali leo yuko wapi? Ile video ya Tunduma ni ya kweli? Kwenye Urais uko kambi gani? Uko ya mtu wa 'dini yetu' ama unamuunga mkono Padre Agustine Ramadhani?
  13. G

    Makonda: Zitto ndiye mwanasiasa makini kwa upinzani

    Hawezi kutaja mwingine zaidi ya MwanaCCM mwenzake.Hapo namuunga mkono.
  14. G

    Elections 2015 Mwita Waitara aitingisha Ukonga wakati akirejesha fomu za kugombea Ubunge CHADEMA

    Jamaa yako leo anazomewa wapi? Nasikia anaanza ziara ya Arusha na Kilimanjaro.
  15. G

    Elections 2015 Mwita Waitara aitingisha Ukonga wakati akirejesha fomu za kugombea Ubunge CHADEMA

    Naona unawahi kukimbilia posho kwa sababu ofisi Lumumba leo mwisho saa saba. Nikuhakikishie tu piga domo upendavyo lakini CCM Ukonga haina kitu.Mtashindana sana lakini kamwe hamtashinda. Ukonga tumewachoka nyie CCM.Chadema na Ukawa ndiyo mpango mzima.
Back
Top Bottom