Recent content by GREATHUGO

  1. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafuta mchumba wa kike ambae atakuwa Mke

    Mdau sitaki kuonja asali nataka nichukue jumla mzinga nikae nao ndani naomba Mungu nipate mtu serious nipate Mke ninaeweza kumpenda na yeye akanijali na kuniheshim kama mume wake. Nakomaa Mdau.
  2. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafuta mchumba wa kike ambae atakuwa Mke

    Wadau niombeeni nipate mtu sahihi, wa mitaani(wa ana kwa ana) na wamtandaoni hawana tofauti ndoa nyingi zina shida na zimevunjika na sababu sio kwa sababu wamepata mtu mtandaoni ila hawakuwa na bahati ya kupata mtu sahihi. Nimependa nitafute mtandaoni kwa sababu najua nitapata mtu mwenye hitaji...
  3. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafuta mchumba wa kike ambae atakuwa Mke

    Mwanamke anaeingia kwenye ndoa kwa sababu ya hivyo vigezo pekee hasara kubwa itakuwa kwa Mwanaume (Muoaji) kwa sababu atakuwa hajapata Mke mwema, maisha yanabadilika na majuto lazima yampate. Wakristo tunaoa mara moja tu.
  4. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafuta mchumba wa kike ambae atakuwa Mke

    Kivipi Mdau nipe darasa.
  5. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafuta mchumba wa kike ambae atakuwa Mke

    Wadau siangalii chura awe mcha Mungu na tabia njema ninaeweza kumpenda tu akanijali inatosha.
  6. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafuta mchumba wa kike ambae atakuwa Mke

    Habari zenu wadau, natafuta mchumba wa kike ambae atakuwa Mke umri wangu 34 asiwe na mtoto, awe mkristo, mimi nipo Dar es Salaam :mimi ni mrefu mweusi, mengine tutamalizana PM Karibuni Sana
Back
Top Bottom