Recent content by Great45

  1. G

    JamiiForums Tanzania TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu usaili (Interview) wa TRA

    Kwa wale nafasi ya Customs Assistant tujiungeni pia Pia customs Assistant https://chat.whatsapp.com/Fq6MsooFq6FDSoFMdzIMPA
  2. G

    JamiiForums Tanzania TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu usaili (Interview) wa TRA

    Link hizo Sasa tujiungeni Ili discussion zifanyike Hello, kwa wale wa Tax Management Assistant tujiungeni kwenye hili group Ili mambo yaendelee ya kudiscuss. https://chat.whatsapp.com/LoB1FLtTosGCKbb0TFxTat
  3. G

    JamiiForums Tanzania TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu usaili (Interview) wa TRA

    Naona mtoa Uzi katoa Uzi mzuri Sana kuna kitu amesema kama mwenye Link ya magroup ya Whatsapp kutokana na nafasi za kazi mbalimbali basi aweke link Ili kwa watu wasio kuwa na link hizo wazipate kwa ajiri ya discussion lakini Kila mtu anaongea lake nje kabisa na mada ya mtoa UZI.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kufanya maombi ya ajira katika Jeshi la Uhamiaji

    Hello Wana JF Nashida katika uombaji ajira hizi za Uhamiaji, nimesha fanikiwa atua ya awali ya kujisajiri Sasa changamoto inakuja pale ninapo taka kuendelea kuja taarifa zangu zingine hainiletei muongozo unao fuata, mwenye ufahamu zaidi naomba Msaada.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi, nina Astashahada ya Mipango Miji

    Ulijaribu kuomba hizi nafasi za utendaji wa Kijiji zilizo tangazwa hivi siku za karibuni kupitia ajira Portal maana huwa zinahitaji watu wa certificate pia Bado zinaendelea kutangazwa Kila siku.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Usaili wa Afisa Maendeleo ya Jamii Msaidizi upoje?

    Sawa Asante kwa ushauri wako naufanyia kazi.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Usaili wa Afisa Mipango Daraja II unakuwaje?

    Naomba kujuzwa maswali ya Afisa Mipango daraja la pili yakoje written na oral?
  8. G

    JamiiForums Tanzania Usaili wa Afisa Maendeleo ya Jamii Msaidizi upoje?

    Naomba mwenye kujua interview za Afisa maendeleo ya jamii msaidizi dalaja la pili maswali yake yakoje ya written na oral?
  9. G

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kiwango cha mshahara wa Wahudumu wa Afya ngazi ya jamii

    Hao kwa kawaida wapo katika makundi mawili wa kwanza ni Optimized PITC -huyu yeye analipwa TSH 150,000/= kama sehem ya posho kwa mwezi pia anaingia Kila siku kazini na sio mshahara kutokana na necha ya mradi. Pia kundi la pili wanaitwa CBHS hao kwa taratibu huwa wanaingia siku za clinic tu...
Back
Top Bottom