Recent content by GREAT NAME

  1. GREAT NAME

    JamiiForums Tanzania Nimetengenezewa kesi ya wizi wa mamilioni kwa lengo la kunipoteza

    Asante mwanafamilia najua maisha kila mtu anapitia magumu yake asante kwa faraja yako
  2. GREAT NAME

    JamiiForums Tanzania Nimetengenezewa kesi ya wizi wa mamilioni kwa lengo la kunipoteza

    dah lakini inauma ujue hata ukiwa wewe utajikuta unawaza mengi
  3. GREAT NAME

    JamiiForums Tanzania Nimetengenezewa kesi ya wizi wa mamilioni kwa lengo la kunipoteza

    ushahidi ninao mkuu ila nilimuacha nione atamalizaje huo mchezo wake but naona anaishia kunichafua tu
  4. GREAT NAME

    JamiiForums Tanzania Nimetengenezewa kesi ya wizi wa mamilioni kwa lengo la kunipoteza

    mkuu nimeongezea maelezo naomba ushauri wako au usaidizi
  5. GREAT NAME

    JamiiForums Tanzania Nimetengenezewa kesi ya wizi wa mamilioni kwa lengo la kunipoteza

    ndio nina ushahidi 100% ila yeye anachofanya ni kunizunguka tu na kuwaaminisha watu kuwa mimi jambazi ila na watu wananichukulia hivo hivo kama movie ilivotengenezwa jambo ambalo linanikera sana
  6. GREAT NAME

    JamiiForums Tanzania Nimetengenezewa kesi ya wizi wa mamilioni kwa lengo la kunipoteza

    mkuu mimi ni kijana ninayejitafuta yani hata sina hata uwezo wa kuwa na mwanasheria
  7. GREAT NAME

    JamiiForums Tanzania Nimetengenezewa kesi ya wizi wa mamilioni kwa lengo la kunipoteza

    TAI DUME ni kama anazingua kwa kweli
  8. GREAT NAME

    JamiiForums Tanzania Nimetengenezewa kesi ya wizi wa mamilioni kwa lengo la kunipoteza

    sasa mkuu kama unataka kunisaidia fanya hivo tu
  9. GREAT NAME

    JamiiForums Tanzania Nimetengenezewa kesi ya wizi wa mamilioni kwa lengo la kunipoteza

    mkuu namba ya nini tena?
  10. GREAT NAME

    JamiiForums Tanzania Nimetengenezewa kesi ya wizi wa mamilioni kwa lengo la kunipoteza

    dah mkuu jamaa kupitia hilo kanimaliza kiuchumi yani maana nilikata tamaa kabisa ya mapambano dhidi ya umaskini nimebaki sina hata pa kuanzia
  11. GREAT NAME

    JamiiForums Tanzania Nimetengenezewa kesi ya wizi wa mamilioni kwa lengo la kunipoteza

    nimempotezea sana ila ameweka kama stori ya kunidharirishia naona nimechoka now
  12. GREAT NAME

    JamiiForums Tanzania Nimetengenezewa kesi ya wizi wa mamilioni kwa lengo la kunipoteza

    Haya ndio hufanya tuishi kwa visasi
  13. GREAT NAME

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu wema bado wapo na wanaishi

    Mbona mi hamichangii au kwa ajili ni me kweli mwanaume ni kupambana
Back
Top Bottom