Poa kaka Loss report tayari nimeshapata tokea jana next step ni kupeleka tangazo kwenye gazeti.la serikali kama havitopatikana ni kurudi chuoni wanitengenezee vingine japo nazani kuna gharama utalipishwa.
Habari wana jamii forum naitwa Gilbert Zenas Rauya tafadhali nimepotelewa na vyeti vyangu original vya taauluma kwenye bus la Kimotco mnamo tarehe 29-11-2021 lilikua linatoka Moshi kwenda Mbeya bag langu liliibiwa halikuonekana kabisa na lilikua na vitu vinginevyo kama External harddisk GB500...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.