Recent content by Graduate Boom

  1. Graduate Boom

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo : Kuanzia Leo, Tujenge Utamaduni wa Kutumia Wataalamu Wazawa

    Tumeona miradi mikubwa ya maendeleo ikijengwa nchini, kutoka barabara za kisasa hadi viwanja vya ndege vya kimataifa. Miundombinu hii inaashiria maendeleo, lakini nyuma ya pazia, kuna ukweli mchungu: Wataalamu wa kigeni ndio wanaongoza katika miradi hii, huku akili na nguvu kazi za vijana wetu...
  2. Graduate Boom

    JamiiForums Tanzania SoC04 Je, usawa wa kijinsia tunaoutengeneza Tanzania ni kwa ajili ya kuwashusha wanaume na kuwapandisha wanawake?

    Hakika tunatakiwa kufanya mabadiliko katika hili 👏👏
  3. Graduate Boom

    JamiiForums Tanzania SoC04 Je, usawa wa kijinsia tunaoutengeneza Tanzania ni kwa ajili ya kuwashusha wanaume na kuwapandisha wanawake?

    Tanzania, kama ilivyo kwa mataifa mengi duniani, inajitahidi kuunda jamii yenye usawa zaidi. Usawa wa kijinsia umekuwa kipaumbele katika ajenda za kitaifa na kimataifa, na kwa hakika, tumepiga hatua nzuri katika kuwawezesha wanawake na wasichana. Lakini je, tunapuuza ukweli fulani katika...
  4. Graduate Boom

    JamiiForums Tanzania SoC04 Turning Tanzania's Graduates into Job Creators through Graduate Boom

    INTRODUCTION: Hello everyone on JamiiForums! We all know education is important, and it's great that our government helps so many students go to university with loans. But what happens after graduation? The studies shows that there is an increase in number of university students who are...
  5. Graduate Boom

Back
Top Bottom