Hivi vyote ni vyombo vya chama vya habari UHURU FM na GAZETI LA UHURU lakini vimekuwa na ubaguzi wa wazi kabisa kwa kuwapendelea watu fulani na uku wengine wakitetewa sana Mh: Lowassa amekuwa target ya vyombo hivi na kumtakana kumkashfu na kusema ni fisadi! Lakini mimi najua tusipotendewa haki...
Ni wazi mpaka sasa CCM bado tunataka kufanya right on time japo kidogo watani zangu UKAWA wamepumzika na kushusha roho chini hasa CHADEMA.
Kura ya maoni ya katiba inayopendekezwa kama ingetokea ikawepo nahakika ingepita na hivyo UKAWA ndo ungekuwa mwisho wao maana walikuwa hawana ajenda tena...
Ni kweli nilikopi jina hili kutoka kwake na ndiyo maana majina yamefanana nazani kuna watu wanaijui ID nimewahi kujitambulisha kwenu. Msimshambulie nimeandika mwenyewe kwa mapenzi yangu mwenyewe kwake kwa kile ambacho nimekiona kwake.
Huyu kijana nimekutana naye sana katika makongamano mbalimbali ndani na nje ya nchi yetu, mara ya kwanza nikutana naye nchini KENYA alipojitambulisha jina nikalipenda na nikampenda kutokana na mchango wake aliyoutoa siku hiyo.
Ni mpole sana ana hekima michango yake hata hapa JF inaeshimika...
Hii ni kweli miongoni mwa wabunge kutoka upinzani ni David Kafulila na Moses Machali rejea kauli yake ya wiki jana hatagombea ubunge na kaandika barua kwa uongozi wa chama cha NCCR. CHADEMA ni Arfi, Shibuda, CCM nitawataja baadaye wako wanne.
Kunishambulia uku inaonyesha mmechoka na siasa za chama changu ila mimi binadamu kama nyinyi na nimekuwa miongoni mwa wabunge wasiyo tetea maovu ya chama changu ili linatokea kwa sababu sikuweka jina langu halisi. Ni kweli Lowassa ana tuhuma za ufisadi ila usilojua ni kama usiku wa giza macho ya...
Nimeamua kuandika kwa masikitiko makubwa sana kwa chama changu CCM kukuandikia barua ya karipio kali ukimuunga mkono Mh. Lowassa katika mbio za Urais.
Mimi ni mbunge kutoka kanda ya ziwa namuunga mkono Lowassa lakini mimi na wenzangu tumeandikiwa barua na kupewa onyo kuwa tutaenguliwa katika...
Siungi mkono makundi haya ni hatari sana tena napendekeza mbunge mwenye nia ya dhati na TAIFA japo mimi ni miongoni mwao apeleke hoja binafsi makundi haya yadhibitiwe kisheria GREEN GUARD, RED BRIGADE na BLUE GUARD.
Kumbe jamaa anajua CHADEMA ina nguvu kupata spika na waziri mkuu hii ni hatari kwenu CCM hongera kwa kuona hilo mmeanza kukubali wenyewe bado sasa mpaka October ni hatari tupu nashangaa mulisema CHADEMA kimekufa CCM ndo inazidi kufa chunga midomo nyie vijana wa NAPE mwingine alisikika akisema "...
> Ahaa sisi hatutaki kuwa kama United States ila ndo maana tuna rasmali watu ambao wanaweza kutusaidia ambao ni sisi wenyewe kuwa na mfumo wetu wa majimbo bila kukopi popote na siyo lazima tufanane vyote tujishughulishe hatuigi tufanye yetu.
> Nimeupenda mchango wako TEC na ndiyo nikasema mfumo ni mzuri sana sasa tutafute kuboresha zaidi. Michango ya wengi inaonyesha kuboresha ila kuna vijana wachache sana sijui wa CCM sina uhakika wanatoa matusi sana muda mwigine mjaribu kuwa soni!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.