Recent content by Gotzon

  1. Gotzon

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kaka, hakuna marefu yasiyo na ncha, your moment is coming!
  2. Gotzon

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wanacheck marinda kama yapo, jiandae🤣
  3. Gotzon

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wakuu, nawashukuru sana kwa pongezi, siwezi ku-reply kwa kila mtu, pongezi ni nyingi, feeling hii ni special, nimerudia mara kadhaa kuangalia jina langu😄, its like a dream!
  4. Gotzon

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hatimaye jina langu limeonekana leo, Glory to God! Kweli kila mtu wakati wake unakuja, tusikate tamaa wakuu (yusto_em)
  5. Gotzon

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kuna watu ni wapuuzi sana mkuu, wanakera
  6. Gotzon

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Pinaaa! Hongera sanaa, the strugle was real😄
  7. Gotzon

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Jamaa anatuongopeaga kwa ujasiri huyu😄
  8. Gotzon

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Chizi wewe🤣🤣🤣🤣🤣
  9. Gotzon

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    🤣🤣🤣🤣 Jinga wewe, umrukie dereva si myakufa🤣
  10. Gotzon

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Majobless wenye ndugu dodoma tunateseka, ukifikia kwao kero ukifikia mtaani lawama, shida tupu, ila aisee! Msemacho ni kweli, ndugu hukuthamini ukiwa na kitu, ukiwa huna mbele wala nyuma hakuna kabisa heshima
  11. Gotzon

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Nenda kasweke watu rumande huko😂😂😂
Back
Top Bottom