Recent content by Gordar

  1. Gordar

    JamiiForums Tanzania Bado dada wa kazi anahitajika

    Kama bado hujapata mimi niko tayari
  2. Gordar

    JamiiForums Tanzania Natafuta Wafanyakazi wa Ndani (House Girl na House Boy)

    Kukaa kabisa ingependeza ili niwe dedicated kwenye kazi yangu
  3. Gordar

    JamiiForums Tanzania Natafuta Wafanyakazi wa Ndani (House Girl na House Boy)

    Form six graduate ni form six leaver
  4. Gordar

    JamiiForums Tanzania Natafuta Wafanyakazi wa Ndani (House Girl na House Boy)

    Mshahara ni makubaliano kati ya muajiri na muajiriwa
  5. Gordar

    JamiiForums Tanzania Natafuta Wafanyakazi wa Ndani (House Girl na House Boy)

    Habari mimi ni binti mwenye umri wa miaka 22, mkazi wa Dar-es-salam. Niko tayari kufanya kazi za ndani
  6. Gordar

    JamiiForums Tanzania Natafuta Wafanyakazi wa Ndani (House Girl na House Boy)

    Habari, mimi ni binti mwenye umri wa miaka 22, form six graduate na niko tayari kufanya kazi zozote za ndani. Mimi ni mkazi wa Dar-es-salam. Ni matumaini yangu kuwa ombi langu litakubaliwa. Asante
  7. Gordar

    JamiiForums Tanzania House girl anahitajika

    Habari, mimi ni binti mwenye umri wa miaka 22 na niko tayari kufanya kazi zozote za ndani. Mimi ni mkazi wa jiji la Daresalam na form six graduate. Ni matumaini yangu kuwa litakubaliwa.
Back
Top Bottom