Recent content by Googlemap

  1. Googlemap

    PostGE2025 Mume wa Mentor Cherry, Mkiza Soul: Tumechoropoka kwa watekaji zaidi ya mara 3. Wame-freeze akaunti zetu ila sasa tuko salama

    Kuandamana kama kuandamana hakuna shida, ila tatizo linakuja aina ya maandamano yenyewe kwa hao waandamanaji, hivi kupora na kuharibu mali ya mtu binafsi, kuleta vurugu na kupoka haki za wengine sababu unalazimisha lako lifanyike,hapo ndo tatizo lilipo Na kiukweli aina ile ya kuandamana nilio...
  2. Googlemap

    Huna utalolifanya litaloweza kukusafisha popote pale

    Mtoa mada kama una chuki na sijui nawe ni zao la Kanisa maana unajua kilichokuwa kina takiwa kupora madaraka ( najua dola ina mapungufu mengi na malalamiko ya haki toka kwa wananchi) lakini pamoja na mapungufu yote kilichokuwa hasa kinatakiwa ni kupoka madaraka bila kufuata utaratibu Ni mpango...
  3. Googlemap

    Huna utalolifanya litaloweza kukusafisha popote pale

    Mkuu hiyo ICC wapo humo kina Netanyau na Putin pia au itatuhusu sie masikini tu
  4. Googlemap

    PostGE2025 Mume wa Mentor Cherry, Mkiza Soul: Tumechoropoka kwa watekaji zaidi ya mara 3. Wame-freeze akaunti zetu ila sasa tuko salama

    Hakuna sehemu yoyote niliyosema nina shabikia kutekana na mie sio muumini wa mambo ya kutekana na nipo kinyume na hilo Ila watu kuwajibika kwa matendo yao na hasa ya kuharibu mali za watu binafsi na miundo mbinu inayosaidia jamii yote hiyo sio sawa, na kusababisha vurugu kwa kigezo cha...
  5. Googlemap

    PostGE2025 Mume wa Mentor Cherry, Mkiza Soul: Tumechoropoka kwa watekaji zaidi ya mara 3. Wame-freeze akaunti zetu ila sasa tuko salama

    Mkuu mie sijui mambo yoyote ya Mh Polepole mie sipo kwenye Siasa wala sina circle ya watu wa siasa au madaraka yoyote ila tu kwa case yao wao wanajuana mambo yao na yule aliisha shika nafasi kubwa tu ktk nchi ina maana pia angekuwa wazi na kufanya mambo yake kwa wazi na hata kukemea hayo maovu...
  6. Googlemap

    Naipongeza sana Serikali ya Samia Suluhu kwa kujiweka mbali na fitina za Kanisa Katoliki

    Hawa wanao jiita wasomi wa PHD wanapenda kutumia neno Haki na watu wanapaswa kutoa maoni yao kwa uwazi na uhuru lakini wao hawataki waumini wao watoe hayo maoni kwa uwazi wana double standard sana Waachieni pia waumini wenu bila kuwapa majina ya ajabu ajabu kuelezea hisia zao na ndo democracy...
  7. Googlemap

    PostGE2025 Mume wa Mentor Cherry, Mkiza Soul: Tumechoropoka kwa watekaji zaidi ya mara 3. Wame-freeze akaunti zetu ila sasa tuko salama

    Kutoa maoni sidhani kama ni shida lkn unatoaje hayo maoni ndo changamoto hapo inapoanzia Kuhamasisha watu kufanya uhasi na vurugu na kupelekea vifo na uharibifu wa Mali za binafsi na umma hapo sidhani kama mtu aangaliwe tu bila kuchukuliwa hatua na kuchunguzwa dhamira na motives zao nyuma ya...
  8. Googlemap

    Je, ni kweli Samia amepokea wito wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC?

    Bara mliendeshwa na kina TEC, Gwaj na Chadema kufanya uhasi na mapinduzi kwa kutetea Imani na mkajificha kwenye kichaka cha neno haki ( sikatai kuna madhaifu na dhuluma pia za chama dola kwa baadhi ya mambo ) lkn ukereketwa ulitoka kwenye chanzo sio sahihi ndo maana hata watu wengi wenye akili...
  9. Googlemap

    Muda wowote nitajiunga CHADEMA ya Lissu. Naona ni chama ambacho kitatukomboa Watanganyika

    Sorry nachelewa kujibu japokuwa umenitusi lkn sio neno Wangekuwa na ubora huo wangeanza kujenga chama cha kumfanya kila Mtanzania ajihisi ana nafasi fulani katika chama chao hicho hata kama wanacho pigania ni vitu vyema na vya maana kwa wote lkn set up yao mbovu ina ukanda na udini ( angalia...
  10. Googlemap

    Muda wowote nitajiunga CHADEMA ya Lissu. Naona ni chama ambacho kitatukomboa Watanganyika

    Hawana ubora wowote ndo sana wamezidisha ukereketwa usio hata na faida, wamewanyima haki wanachama wao kuchaguliwa ubunge na udiwani na mbaya kwa matamko yao ya kukinukisha, ku asi na kuvuruga uchaguzi wamefanya wa Tanzania wenzetu wapoteze maisha na wala hao na viongozi waandamizi na jamaa zao...
  11. Googlemap

    PostGE2025 Padri Kitima: Kulikuwa kuna maana gani kuwaambia watu wakae ndani halafu wanafuatwa mtaani na majumbani na kuuawa?

    Dah mkuu nilitoka kidogo kwenye hizi mitandao, why upo this low, matusi ndo unaona ni kitu cha kujengea hoja mkuu Dah acha kuwa low hivi jenga hoja hata kama unapingana na hoja na mitizamo na wenzako vinginevyo jikalie kimya tu sawa mkuu
  12. Googlemap

    PostGE2025 Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu: Kitima, huu muziki wa Waislamu huuwezi, DAMU ITAMWAGIKA! Tunayo mengi ila tumekaa kimya kuhusu Wakristo

    Sijapinga kuongelea dhuluma inayofanywa na dola dhidi ya Raia wake nacho pinga hao walio jipa kazi ya watetezi badala ya kuleta umoja na utengamano wao wanazidi kuja na matamko/waraka wa kutugawa zaidi na hao wana nia zao ovu tu. Kama walezi wa kiroho wajibu wao ni upatanisho na maridhiano...
  13. Googlemap

    PostGE2025 Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu: Kitima, huu muziki wa Waislamu huuwezi, DAMU ITAMWAGIKA! Tunayo mengi ila tumekaa kimya kuhusu Wakristo

    Nitakuwa ebu thibitisha bila kuacha hata chembe ya mashaka, kuusema ukweli sio lazima uwe ktk mkumbo wa dini zilizo anzia mashariki ya kati mkuu
Back
Top Bottom